Jux delivers the official music video for Fimbo
Available wordwide soon.
Watch more videos from Jux:
‘Wivu’: https://www.youtube.com/watch?v=jDbLQ…
‘One More Night’: https://www.youtube.com/watch?v=lAt2p…
‘Looking For You’ (ft. Joh Makini): https://www.youtube.com/watch?v=0BkXx… ‘Nikuite Nani’: https://www.youtube.com/watch?v=gI8CL…
Digital distribution by Africori: http://www.africori.com
Aaaaam Records
Abaaaaah
Verse 1
Kwanza kabisa thanks to the Lord ( To The Lord, To The Lord )
Uzuri wako si wa kudownload ( Download wa kudownload )
Unanishangaza kila siku mi sichoki
Mwingine kama weeee mi sitaki
Pre Hook
Wewe ndiyo fimbo yangu baby
Ongeza raha zaidi mami
Nikuweke tu kabisa ndani
Kwangu wewe ndiyo burudani
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mami
Ni Wewe tu tu baby
Ni Wewe
Chorus
I’ll give you everything yeah ( unanivuruga eeeh, unanivuruga )
I’ll give you everything darling, I’ll give you everything ( unanivuruga eeeh, unanivuruga )
Nitafunga moyo wangu sitoki funguo nikukabidhi wee ( I’ll give you everything )
Nitakupa moyo wangu na noti, chochote unachotaka wee ( I’ll give you everything)
Ahhh yaaa yaaaa
Ahhhh yaaa yaaa yaaa yaaa yaaa x2
Verse 2
Una rangi ya chocolate
Magnetic
Romantic
Jinsi ulivyo humble baby, so sexy.
Wanivuta zaidi
Kurudi nyumbani late mi sitaki (kurudi Nyumbani late mi sitaki )
Sababu nina wivu Moyoni ukiwa mbali ( sababu nina wivu moyoni )
Pre Hook
Wewe ndiyo fimbo yangu baby
Ongeza raha zaidi mami
Nikuweke tu kabisa ndani
Kwangu wewe ndiyo burudani
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mami
Ni Wewe tu tu baby
Ni Wewe
Chorus
I’ll give you everything yeah ( unanivuruga eeeh, unanivuruga )
I’ll give you everything darling, I’ll give you everything ( unanivuruga eeeh, unanivuruga )
Nitafunga moyo wangu sitoki funguo nikukabidhi wee ( I’ll give you everything )
Nitakupa moyo wangu na noti, chochote unachotaka wee ( I’ll give you everything)
Bridge
Unanivuruga eeeeh
Unanivuruga Vuruga unanivuruga My Mama
Unanivuruga eeeeh
Unanivuruga vuruga UNANICHANGANYA
Unanivuruga eeeeh
Unanivuruga Vuruga Yaani sioni sisikii
Unanivuruga eeeeh
Unanivuruga Vuruga Yaani siwezi
Unanivuruga eeeeh
Unanivuruga Vuruga Mama Siwezi
Unanivuruga eeeeh
Unanivuruga Vuruga Yaani mimi kwako sisikii baby
Yeaaaaaaaaaaaaaaa
Unanivuruga eeeeh
Unanivuruga Vuruga Unaniiiii vuruga
UNANICHANGANYA changanya
Unanivuruga vuruga ( til fade )