Goodluck Gozbert – Hauwezi Kushindana (Official Music Video)
Hauwezi Kushindana was inspired By Philip 4:6. The song is off Goodluck Gozbert’s New Album “Shukurani”
Watch Goodluck Gozbert New EP “Ushindi”: https://www.youtube.com/watch?v=rag27LQpBkY&list=PLMsJvhadvBjoasbYufbh2Borjbs03kBkK&index=2 Instagram: https://www.instagram.com/goodluckgozbert/?hl=en Credits:
Audio: Produza Paulo Hauwezi Kushindana Lyrics
Hauwezi kushindana, oh kushindana Mbona sasa ningekuwa na vidonda mwili mzima Ukiendelea unawapa kichwa hao Wakikuona waseme umekuwa sugu Ikiwa Mungu anahukumu kwa kusikiza maneno Si ningekushauri mchungaji wangu ufunge kanisa Na uongo wanini Mwogope Mungu #GoodluckGozbert #GozbertMinistries #HauweziKushindana
/>
Follow Goodluck Gozbert
/>Subscribe to YouTube Channel: https://www.youtube.com/channel/UC06LJwFOreisG0hf-V3SxZA
Video: Director Destro
Na mwanadamu mwenye kinywa
Kama maneno yangekuwa yanaweza kutoboa mwili huu
Vita vya maneno kuna watu ni majemedari
Ukisema mshindane mbona mikono mtainua
Kupigwa vita ni kawaida isikusumbue
Wewe ni mti wenye matunda zoea mawe
Lia kidogo nyamaza ili uchungu uishe
Basi laza imani rejea vitani
Acha waongee acha waseme seme
Ila yuko Mungu wakuwaziba midomo
Mbona hata matumbo ya mimba yanasemwa sana
Hivi Mungu angehukumu kwa kusikiza umbea
Mwanadamu mwanadamu shida ni ulimi
Ungejifunza ukimya haunanga hasara
Fulani we fulani una shida gani
Ukumbuke ni ahadi kuna siku yaja
Kwa kila neno na kinywa chako utatolea hesabu
Mimi nimeshakwambia