Karata 3is a project composed of three songs,Mapenzi,UpandeFeaturingSkales(Nigerian), andNimpende.
Mapenzi is a Swahili Word in English Means Love. On this song ibraah tries to tell us that there’s things to tolerate but not love because love hurts, you can love someone and that person you love has someone else who loves him/her.
Audio Produced by Mr Simon
Video was Directed by Joma from RedShot
Download and Stream on all Digital Platforms Link
https://lnk.to/Karata3
Subscribe for more official content from Ibraah:
https://www.youtube.com/c/ibraah
Follow Ibraah
Instagram: https://www.instagram.com/ibraah_tz/
Twitter: https://twitter.com/ibraah_tz
Facebook: https://web.facebook.com/ibraah255
Listen to Ibraah
https://www.youtube.com/c/ibraah
Audiomack: https://audiomack.com/ibraah-tz
Apple Music : https://music.apple.com/us/artist/ibraah/1507959934
Spotify : https://bit.ly/3ybEn3Z
The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
Lyrics
No uuuh oooh aaaah
uuuuh ooooh aaaah
Mr Simon
Hayaa aaah yeee eeeh
Verse 1
Amini unaempenda nae ana wake anaempenda pia na siku zinakwenda aaaaah na hata yule anaempenda nae ana wake anaemwita dear haya mapenzi mwana kwenda
aaaaah no oooh ni yale yale mapenzi yaliyowatesa mabibi na mababu hadi leo mie mwenzenu siyawezi ni bora uyashuhudie kwa mwenzio ama kwa video usione mtu analiaga ukadhani ni utoto mapenzi ya vingi vituko nyingi changamoto ooona ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe aah eeeeh!
Chorus
Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi,
mapenzi yanaumiza mi ndo maana siyawezi
Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi aaah
eeeeh, mapenzi yanaumiza aaaaaaah mapenzi
Verse 2
Awe penda unapopenda unapo amini kwamba amani ya moyo wako ipo na ukikosa unachopenda utapagawa bure hata ufanye matambiko na na hata ukimpenda kweli hawezi jua sababu ni siri ya moyo wako hata kama akifeli atapuuzia ili uteseke tu peke Yako ngoswe kitovu cha uzembe ukipenda huoni na unaempenda hajui hatambui kama yeye ndo yako mboni hata akisema amechoka anataka muachane wewe zidi kumpenda tuu ivyo ivyo maana mapenzi hayana mwenyewe aaaaah unaweza ukaondoka ukaenda kupenda pengine napo ukakuta ndivyo sivyo ukajihisi una mkosi weeewe aaah huuu oooh aaah, ukimpata anae kuthamini na tulia na utunze yake heshimaa ujue ndo kashazama kwa kina weeeewe aah eeeeh!
Chorus
Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi,
mapenzi yanaumiza mi ndo maana siyawezi
Vipo vya kuvumilia lakini sio mapenzi aaah
eeeeh, mapenzi yanaumiza aaaaaaah mapenzi
Ibraah
Konde Music worldwide
Mr Simon
For Bookings & More
Email: Ibraahmanagement3@gmail.com
Call: +255 718 712 420
#Ibraah #Mapenzi #Karata3