#Ibraah #Nani #KondeGang
LYRICS
Hmm yeah
Hmmmmm yeah
Asubuhi kumekucha Wingu limetanda
Na mvua yata kunyesha Na uko mbali mama
Maji takitiririka Oh baridi itanishika
We ndo chanda chema uhakika unanikatisha tamaa
Utaambiwa binadamu Ah kila mmoja ana mapungufu yake
Sijui nilipoteleza mama, si ungeniambia Nimemiss tabasamu,
kutwa kucha picha kummezea mate Yangu fimbo umeibeza,
ah katu hautaki kuitumia Labda hesabu za kutoa mi niligawanya
baby unisamehe Na ile hasi nikafanya chanya baby unisamehe
Na hata emoji za kulia nazo kutumia nazo zikome
Japo nipate furaha, ah huruma unionee
Maana hii hali, hata haifichiki
Kutwa wima cha mpingo, kisiki
Maana hata nikiona michezo ya njiwa
Ah huwa naitamani kama si wewe
Nitampenda nani (x6)
Nani nitampenda aah
Eh penzi usifanye kwa chombo cha usafiri
Ikawa umeshuka uje utanikatili Nitakuwaga
mental Niko dhahari, si unasikia Penzi la dhati
daima la wawili We fanya na urudi lisiwe batili
Ka wafanya kusudi ni ukatili mi naumia We ndo
yangu hifadhi labda nilikosea msimbo Kweli
kupenda kazi wangu umegeuka fimbo Mi ndo lako
koroboi Lile lisilo zima Aha si ulisemaga hauchomoi
Kumbe imani ulinipima ah Pia ulisema haudonoi
Wameiteka mazima Ahaa simungunyi sikohoi
Sina vyangu nimechina
Maana hii hali, hata haifichiki
Kutwa wima cha mpingo, kisiki
Maana hata nikiona michezo ya njiwa
Ah huwa naitamani kama si wewe
Nitampenda nani (x6)
Nani nitampenda aah
Download and Stream on all Digital Platforms Link
Subscribe for more official content from Ibraah:
https://www.youtube.com/c/ibraah
Follow Ibraah
Instagram: https://www.instagram.com/ibraah_tz/
Twitter: https://twitter.com/ibraah_tz
Facebook: https://web.facebook.com/ibraah255
Listen to Ibraah
https://www.youtube.com/c/ibraah
Audiomack: https://audiomack.com/ibraah-tz
Apple Music : https://music.apple.com/us/artist/ibraah/1507959934
Spotify : https://open.spotify.com/artist/0Dxcbz9hjyAdLULzwZcxWe
The official YouTube channel of Ibraah. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: Ibraahmanagement3@gmail.com
Call: +255 718 712 420