a e i o u, hizi ni irabu, zipo kwenye kitabu!
Jifunze irabu na Akili and Me!
—
Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Akili.
Angalia “Akili and Me” TBC1 saa 3 asubuhi j1 & j2 pamoja na Ubongo Kids.
Ride the rainbow to Lala Land, and join Akili and her friends on a magical learning adventure. Sing with numbers, dance with letters, draw, play and learn English with Akili!
Watch “Akili and Me” on TBC1, 9am Saturday and Sunday mornings!
http://www.akiliandme.com
http://facebook.com/akiliandme (English)
http://facebook.com/akilikiswahili (Kiswahili)
By Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning. Edutainment made in Africa, for Africa!