Jux delivers the official video for Unaniweza, off his 2019 album titled ‘The Love Album’. Audio produced by Abba Touches and Video shot & Directed by InnoStuart( STUWORKS) in Bali, Indonesia 🇮🇩 and some of shots by Bm Visuals in Serengeti, Tanzania 🇹🇿.
The video shows Jux and his Girlfriend Nnayika enjoying their life. Jux and Nnayika, they believe that being deeply loved by someone gives you strength, while loving someone deeply gives you courage. Enjoy the video

The Love Album Available Worldwide:
http://africori.to/juxthelovealbum.oyd

© 2019 African Boy

Follow Jux
Facebook: https://www.facebook.com/Juma-Jux-553
Instagram: https://www.instagram.com/juma_jux/
Twitter: https://twitter.com/africanboyjux

Subscribe here: –
https://www.youtube.com/channel/UCFVUvRFGEA-m6tb_I8fZgXA

http://smarturl.it/YouTube_Subscribe
Digital distribution: http://www.africori.com/

More from Jux:
Sugua ft. Diamond Platinumz: https://youtu.be/5ZfA8PvELyU
Wambela ft. Ruby: https://youtu.be/FsTP1qc9VXA
Sugarcane: https://youtu.be/DjtJqP7L3mE

Intro:
Abbah

Verse:
Pindi ukicheka we,
Mi moyo unanitabasamu
Huwa mwenye kujihisi mororoo
Ila ukilia we,
Hata kula nakosa hamu
Huwa mwenye kujihisi dororo

Pre-Chorus:
Ukiwa karibu na mie
Najiona bora
Lakini ukiwa mbali baby
Baridi linachoma
Uwepo wako we na mie
Umetia fora
We ndo daktari darling nikitaka kupona

Chorus:
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza

Verse:
Sitamani mwingine
Wala sidhani ka ataweza kutokea
Maana mambo yako moto moto moto
Labda upite ushetani mwingine
Maneno ya watu nishazoea i don’t care
Kila kukicha chokochoko
Unavyonipa rahaa
Ndo na nenepa mie
Penzi lako na tinga na ringa na bembea
Kinachokufaaa
Usisite niambie
Kwako niko radhi, hata zege nibebe machinga ni nadishee

Pre-Chorus:
Ukiwa karibu na mie
Najiona bora
Lakini ukiwa mbali baby
Baridi linachoma
Uwepo wako we na mie
Umetia fora
We ndo daktari darling nikitaka kupona

Chorus:
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza
Unaniweza weza

Outro:
Unaniweza weza
Yeiyeeee, I do it for love, For love
Unaniweza weza
For love , For love , I do it for love
Yeeeee
Unaniweza weza

#Jux #TheLoveAlbum #Unaniweza


Source Link