Kwaya ya Mtakatifu Boniface Askofu na Shahidi kutoka Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu Sombetini Arusha wanakukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo wa Ekaristi uitwao Nakukaribisha Yesu utunzi wake Ray Ufunguo.Wimbo huu umerekodiwa katika studio za RAJO Productions.

Tunamshukuru sana Fr. Teilo M Lwande AJ. kwa kufanya English subtittles. Huu ni wimbo ulio bora wenye maneno matamu na tunaalikwa kushiriki ili tuweze kupata Neema za Mungu. Tunapoendelea kutafakari, Mungu aweze ku mimina neema katika maisha yetu na mwisho wa siku tuyaache maisha ya kale na tuwe wapya. Bwana unibadili niweze kuishi kadiri ya njia zako.

Tuatakapoyashuhudia matendo makuu ya Mungu, basi Tumpigie Mungu Kelele za shangwe ili Sifa na Utukufu virudi kwa Mungu.
#miminaneema #bwanaunibadili #rajoproductions #kwayakatoliki #gospelmusic


Source Link