AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR
NIREHEMU BABA YANGU- Official Video 2020
Be sure to SUBSCRIBE, LIKE, SHARE and FOLLOW the Ambassadors of Christ on this channel, but ALSO on:
Facebook Page: https://www.facebook.com/Ambassadors-of-Christ-Choir-AOCC
Website: http://www.ambassadorsofchristchoir.org
Instagram: @ Ambassadors of Christ Choir
Email: ambassadorsocc@gmail.com
SONG CREDITS: Words, Music, instrumentation & Arrangement: BY SSOZI JORAM
Ambassadors of Christ Choir is not for profit choir ministry affiliated to the Seventh day Adventist Church in Kigali-Rwanda. Since 1995, we have only one mission to preach the good news of the kingdom of God through the gift of music.
The song NIREHEMU BABA YANGU is one of those songs that will touch the deepest confines of your heart with a piercing message. For those of you who don’t understand Swahili, the video has English subtitles. May you be blest like were are blessed whenever we sing it.
1.
Aliniona Bwana
akaniwaza kuwa mwaminifu
Akatunza neno lake
Ndani ya moyo wangu.
Kaufunguwa upendo wake wa thamani
Na kunipenda Mimi,
Mana aliniwaza kuwa mtu apendekae
Ref:
Ole wangu, Bwana wangu-u,
Nimara ngapi nimekuvunja moyo,
Nimara ngapi nimekuabisha,
Nina majonzi mengi moyoni Baba(Mana)
Sikuenenda sawa na mapenzi yako
Nani ataniponya isipo kuwa Wewe
Nirehemu Baba yangu
2.
Mbele ya walimwengu
Nina mfano wakuaminika(aa)
Lakini nilicho kweli
Ninajua mwenyewe
Ole wangu
Kama nitapimwa na kukutwa napungua
Bwana niwezeshe(Bwana)
Kauli yangu iwe ndiyo matendo
3.
Mbele ya walimwengu
Tuna mfano wa kuaminika
Lakini tulicho kweli
tunajua wenyewe
Ole wetu
Kama tutapimwa na kukutwa tunapungua
Wakati ni Sasa
Kurekebisha mienendo yetu.