Kwaya ya Bikira Maria Mama Wa Rozari Takatifu (BMM – Olkokola) kutoka Parokia teule ya Mt. Yohane Mtume – Olkokola, Jimbo Kuu Katoliki la Arusha.
Wanatukaribisha kusikiliza na kutazama wimbo wao Mpya ulio miongoni mwa nyimbo nyingine katika Album yao itakayokujia hivi karibuni.
Audio na Video vimefanyika katika studio za RAJO Productions
Ungependa kufanya nao kazi au uwe wakala wa kuisambaza kazi hii?
Wasiliana nao leo kwa namba hizi +255 788 013 959 au +255 752 631 092
#rajoproductions #miminaneema #kwayakatoliki