Song Produced By Lizer Classic
Written By: Diamond Platnumz & Zuchu
Directed By: Director Kenny Under Zoom Extra
Contacts Zoom Extra : +255 718 546 547 | directorkenny1@gmail.com
Mwanamke wewe ni SUPER WOMAN..Wewe ni ALMASI yetu..Wewe ni zaidi samaki mtamu kuliko wooote baharini na ziwani…
Wewe ni TWIGA katika msitu mnene.Urefu wako unakufanya uone kesho yetu na kutuongoza njia tusipotee.
Wewe ni zaidi ya kiporo cha ubwabwa na maharage na chai ya rangi.
Wewe ndio kioo cha jamiii na bila wewe hakuna JAMII.
SISI tunakupenda/Tunakuheshimu na KUKUTHAMINI…Ndio maana tumasema.Ahsante mwanamke #You are a SUPER WOMAN.
Wewe ni wa thamini kwetu.
#Mwanamke #Superwoman #2020NiUshindiTuu