Msaidie Akili kumtafuta Bush Baby! Imba, cheka, elimika na Akili and Me!

Mtoto wako atafurahi sana kujifunza na Akili, Happy Hippo, Little Lion na Bush Baby!

Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu, ambapo utajifunza na kucheza na Akili! Imba namba! Cheza herufi! Cheka, chora, na jifunze Kiingereza na Akili.

Angalia “Akili and Me” TBC1 saa 3 asubuhi j1 & j2 pamoja na Ubongo Kids.

Ride the rainbow to Lala Land, and join Akili and her friends on a magical learning adventure. Sing with numbers, dance with letters, draw, play and learn English with Akili!

Watch “Akili and Me” on TBC1, 9am Saturday and Sunday mornings!

http://www.akiliandme.com
http://facebook.com/akiliandme (English)
http://facebook.com/akilikiswahili (Kiswahili)

By Ubongo, the Tanzanian social enterprise that entertains kids to learn and love learning. Edutainment made in Africa, for Africa!


Source Link