Ubongo Kids Webisode 13 – “Desimali Kisimani” / “Decimals Down the Well” – the Tanzanian educational cartoon as seen on TBC1.
Katuni hii ya Kiswahili inafundisha kuhusu desimali.
Angalia Ubongo Kids (proud partner of CRDB Bank) kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com
Ubongo Kids ni mfululizo mpya wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.
http://ubongokids.com
http://youtube.com/ubongokids
http://facebook.com/ubongokids
http://twitter.com/ubongotz
This Kiswahili Cartoon teaches about adding and subtracting decimals.
Watch Ubongo Kids every Saturday and Sunday morning on TBC1 in Tanzania.
An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.