Angalia webisode za msimu wa pili wa Ubongo Kids hapa hapa!

Ubongo Kids Webisode 27 – “Kipi Zaidi” – the Tanzanian animated cartoon series as seen on TBC1!

Jifunza kuhusu viungo vya mwili kupitia episode hii ya Ubongo Kids, Africa’s clever new cartoon!

Angalia Ubongo Kids kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1! Na pata webisodes zote kupitia: http://www.ubongokids.com

Ubongo Kids ni mfululizo wa hadithi za kusisimua iliyo katika mfumo wa elimu-burudani kutoka UBONGO MEDIA ya Dar es Salaam. Inaonyeshwa kila jumamosi na jumapili saa 3 asubuhi TBC1.

http://ubongokids.com
http://youtube.com/ubongokids
http://facebook.com/ubongokids
http://twitter.com/ubongotz

An edutainment cartoon made in Africa, for Africa.


Source Link