St. Bernadette Choir From Our Lady of Guadalupe, Adams arcade Nairobi.

Wakishirikiana na Ray Ufunguo, Lawrence Kameja and Anastacia Muema wanakukaribisha kusikiliza na kutazama Wimbo huu unaoitwa SHANGWE ZA NOELI.

Utakapotazama, Yesu akazaliwe katika maisha yako na uzidi kubarikiwa.
Wimbo umetungwa naye Ray Ufunguo, na kurekodiwa na RAJO Procuctions.

#rajoproductions #shangwezanoeli #asanteyesu #miminaneema


Source Link