Kwaya ya Mtakatifu Maria Magdalena kutoka kigango cha Mtakatifu Luka Mwinjili,Olmatejo Parokia ya Roho Mtakatifu – Ngarenaro Arusha.Wanatukaribisha kushiriki kutazama na Kusikiliza wimbo huu wa Kumshukuru Mungu.Wimbo huu ni utunzi wake Ray Ufunguo. Audio na video vimefanywa na RAJO Productions. Please support https://www.patreon.com/bePatron?u=77044884 /> #rajoproductions #miminaneema #rajoproductions #asanteyesu


Source Link